Nafasi za Kazi

Darja inaalika maombi kutoka kwa watu kufanya kazi kwenye mradi unaolenga Uawala wa serikali za mitaa na Uwajibikaji katika upatikanaji wa huduma ya maji vijijini.Mradi wa Maji Daraja is inviting applications for staff to work on an innovative new programme focussing on local governance and accountability in rural water supply: Raising the Water Pressure.
 
Nafasi zilizopo:The positions available are as follows:
 
Nafasi za mradi:Programme Positions:
Nafasi za uhasibu/fedha na Utawala Finance and Administrative Positions:
 
Maelezo ya kazi(pdf format) kwa kila nafasi yanapatikana kwa kubonyeza kwenye kichwa cha nafasi.A job description (pdf format) for each position can be found by clicking on the position title above.
 
Waombaji watume CV pamoja na barua isiyozidi kurasa mbili kwa applications daraja.org au P.O.Box 736,Njomb.Barua ya kazi lazima ionyeshe nafasi ya/za kazi unayoomba.Applicants should send a CV together with a cover letter of no more than 2 pages to applications@daraja.org or PO Box 736, Njombe. The cover letter should mention the position (or positions) for which you are applying.
 
Mwisho wa kutuma maombi kwa nafasi hizi ni saa 11 jioni Jumatatu tarehe 16 Novemba.The closing date for applications for these positions is 5pm on Monday 16th November, 2009.  
 
Daraja inapenda kupokea maobi kutoka kwa wanawake na VijanaDaraja particularly encourages applications from women and young people.
 
Waliochaguliwa tu watapigiwa.Only shortlisted applicants will be contacted.