Utafiti

Sehemu kubwa ya kazi ya Daraja ni kufanya utafiti katika masuala yanayohusiana na serikali za mitaa Tanzania.Hii ni moja ya sehemu ya kutambulisha/kujulisha kazi zetu,pia kuwajulisha waandaji wa sera na wale wanaofanya kazi kwenye miradi ya maendeleo kuhusu maeneo mhimu yanayohitaji kipaumbele.
 
Daraja imekuwa ikifanya tafiti kwenye /kuhusu utawala bora Tanzania kuanzia 2006. Taarifa ya utafiti uliokamilika ipo hapa. Pia tuna tafiti nyingi zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni.