Kazi Zetu‎ > ‎

Twende Pamoja

Mradi huu umeanzishwa kwa kuzingatia  uwezo wa vyombo ya habari kwa kutia nguvu ya uwajibikaji wa kidemokrsia. Gazeti la wilaya litaanzishwa kama chombo cha shughuli zinazohusiana na utwala, ikiwemokufuatilia matumizi ya fedha za umma, kadi za mapendekezo za jamii, sehemu kubwa ya majadiliano/midahalo ya umma na habari za kiuchunguzi. 
 
Gazeti litalenga kwanza kwenye wilaya moja kwa lengo la kuanzisha njia rahisi na ya ufanisi kurekebisha serikali za mitaa, kuanzisha midahalo ya umma kuongeza uelewa wa haki za kidemokrsia na majukumu. Baada litakua ili kuzifikia wilaya nyingi zaidi ,likiwa na makala za kila wiaya  pamoja na jumuisho la habari kutoka makala mbalimbali pamoja na tarifa muhimu na maoni.
 
Mradi huu unatatrajiwa kuanza katikati ya mwaka 2010.