Kazi Zetu‎ > ‎

Miradi Iliyomalizika

Kabla ya mwaka 2009,Daraja ilenga zaidi katika kujifunza mazingira ambayo itaendesha shughuli zake,na kupeleleza/kuchunguza/kutafiti baadhi ya mawazo ya mradi.Tulifanya miradi ifuatayo ya majaribio na utafiti ,yote ikiwa imebuniwa kuiweka daraja katika msingi imara wa kuanza shughuli za muhimu. 
 
Kuangalia Afya - Mradi huu wa 2008 ulilenga kuanzisha miadalo juu ya umuhimu serikali za mitaa katika kuwadhibiti watoaji wa huduma za afya.Tulituma wateja katika vituo vingi vya afya/kliniki nyingi za serikali na binfsi,kuangalia uhakika wa utolewaji wa huduma.Kwa mfano,ni jinsi gani vipimo vya malara vipo sahihi? Tunapanga kutumia matokeo haya kuipa changamoto serikali-ni hatua gani watachukua kutatua matatizo ambayo hatuyawezi/hatutayamaliza. 
 
 
 
Nionyeshe fedha - Mradi huu ulilenga kuanzishamidahalo kuhusu upatikanaji wa taarifa za mipango na utendaji wa serikali za mitaa.Je mipango ya serikali za wilya,bajeti na taarifa zinapatikana/zinafahamika kwa wananchi/umma? Zinatakiwa ziwepo,lakini kiuzoefu ni ngumu kupatikana.Hii inapelekea ugumu kwa vikundi vya jamii kujua miradi inayokidhi mahitaji yao au kufuatilia kama matumizi yanaendana na mipango.Katika  mradi huu watu wa kujitolea waliifikia serikali kuomba taarifa maalumu,wakaona kilichofanyika na kutangaza /kuweka wazi matokeo kwa umma.
 
  
Muongozo wa mchakato wa bajeti ya serikali za mitaa - Darja ilichangia sura kwenye mchakato wa bajei ya serikali za mitaa kwa muongzo wa mchakato wa bajeti Tanzania,iliyochapishwa kwaushirikiano wa HakiEliemu na Policy Forum. Maelezo kwa ufupi ya  sura Daraja katika bajeti ya seriali za mitaa yaliandikwa kama kipeperushi kiachojitegeme, Kusisitiza uwajibikaji wa serikali za mitaa: Fursa zipo wapi? Hiki kilichapishwa kwa ushirikiano wa Daraja na Policy Forum.