Sauti za Jamii

 
Nani anahusika katika kazi za Daraja? Na wanasema nini? Hapa ndipo unaweza kusikia sauti za watu ambao Daraja inafanya nao Kazi Tanzania-kuanzia kwa wanajamii mpaka kwa watendaji wa serikali. 
 
Kazi ya utafiti ya Daraja imekusanya maoni na mawazo ya watu mbalimbali, ukijumuisha:
Shule yetu ina uongozi mbovu.Nilisikia wamepata fedha kwaajili ya vitabu vipya ,lakini bado tunatumia vitabu vya miaka 10 iliyopita.
Mwanafunzi wa shule ya msingi, Wilaya ya Njombe
 
Kama unahitaji msaada kwa mwenyekiti wa kitongoji,hatakusaidia mpaka utoe kidogo dogo.Na kama hulipi kidogodogo hatakusaida kwenye madai yako".
Mwanakijiji mwanamke,wilaya ya Ludewa.
 
Tunajitahidi kwa kadri tuwezavyo. Lakini serikali kuu haiheshimu maamuzi yetu.
Afisa wa Serikali ya Wilaya ya Nzega
Kipengele hiki bado kipo kwenye maandalizi,tafadhali angalia tena baadae kwa taarifa zaidi.