Uwajibikaji Wetu‎ > ‎

Ripoti na Taarifa za Mahesabu

Utayari wetu kwenye uwazi na uwajibikaji unajumuisha kuweka vielelezo muhimu vya fedha na taarifa ziweze kupatikana kwa umma kwa kupitia tovuti hii. Hii inajumuisha taarifaya fedha  ya mwaka  na taarifa za kazi zinzoandaliwa na Daraja pamoja na Daraja Trust (shirika dada Uingereza).
 
 
Kampuni ya Daraja Tanzania (Daraja Development Limited)
 
Kampuni ya Daraja Tanzani ilianzishwa rasmi mwaka 2009 na hakuna taarifa au mahesabu yaliyoandaliwa tayari .Taarifa na mahesabu yatapatikana hapa kufuatia mwaka wetu wa kwanza wa fedha. Tunatarajia zitakuwa tayari mwezi wa sita mwaka 2010.
 
 
Shirika la Daraja(Daraja Uingereza) Daraja Trust (Daraja in the UK) 
 
Taarifa za mwaka zilizowasilishwa kwa Utawala ya Makampuni Uingereza pamoja na Tume ya Hisani.
  • Ripoti ya mwaka wa fedha 2006/7
  • Taarifa ya fedha ya mwaka kwa mwaka wa fedha 2006/7
  • Ripoti ya mwaka wa fedha 2007/8
  • Taarifa ya fedha ya mwaka kwa mwaka wa fedha 2007/8
  • Ripoti ya mwaka wa fedha 2008/9
  • Taarifa ya fedha ya mwaka kwa mwaka wa fedha 2008/9
Sehemu hii ya tovuti kwa sasa ipo chini ya maandalizi hivyo haijakamlika. Japokuwa kama utakuwa na maswali kuhusu kazi zetu na utawala wetu, au utapenda nyaraka yoyote ambayo haipo hapa, tafadhali wasiliana na sisi