Uwajibikaji Wetu

Moja ya kanuni ya msingi ambayo Daraja imeanzishwa ni uwajibikaji.Tunaamini taasisi zote na mashirika lazima yawajibe kwa watu ambao zinafanya nao kazi. Tupo tayari kufuata misingi hii ndani ya Daraja yenyewe  na katika nafasi/sehemu hii tutaweka nyaraka nyingi za muhimu zinazohusu jinsi gani Daraja inaendeshwa.
 
Hii inajumuisha nyaraka zifuatazo:

Sehemu hii ya tovuti sasa ipokwenye maandalizi hivyo haijakamilika. Kama una maswali yoyote yanayohusu kazi zetu au utawala wetu au kama utapenda nyaraka yoyote ambayo haipo hapa, tafadhali wasiliana na sisi.