Kuhusu Daraja‎ > ‎

Daraja katika Taarifa za Habari

Mwezi Aprili 2008, Mwanzilishi wa Daraja, Ben Taylor, alihojiwa katika Redio ya 105 FM 209radio, inayosikika Uingereza. Unaweza kusikiliza mazungumzo yaliyotokea hapa:  Mahojiano ya Ben Taylor [mp3]